LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 21, 2021

MALIKIA WA UINGEREZA QUEEN ELIZABETH AOMBOLEZA KIFO CHA RAIS DK. MAGUFULI

Mimi na Prince Philip tumepokea kwa mshangao mkubwa  kifo cha Rais Dk. John Magufuli. Napenda kutuma Salam zangu za Rambirambi kwa mpendwa wake (Mama Janeth Magufuli) na kwa Wananchi wa Watanzania", amesema Queen Elizabeth katika salam zake za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli, kilichotokea Machi 17, 2021.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages