Spika wa Bunge Job Ndugai aklongoza kikao cha Kamati ya Uongozi ya Bunge leo Jijini Dodoma. Kikao hicho ni sehemu ya maandalizi ya Vikao vya Mkutano wa tatu wa Bunge la 12, vinavyotarajiwa kuanza Jumanne, Machi 30, 2021 Jijini Dodoma.
About Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇