Mshauri Muelekezi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander Mhandisi Lulu Dunia akiwaonyesha Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu hatua mbalimbali zilizofikiwa katika ujenzi wa Daraja jipya la Slender wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja hilo
pamoja na barabara unganishi .
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROAD), Mhandisi Patrick Mfugale akitoa ufanafanuzi wa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja hilo pamoja na barabara unganishi .
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇