LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 9, 2021

KINAMAMA SAMIA, DK TULIA WAJAO WALONGA YA MOYONI KUHUSU MABINTI SHULENI+video


Na Richard Mwaikenda, Dodoma

Wanafunzi wa Kike wa Shule ya Sekondari Bahi, iliyopo wilayani Bahi, Mkoa wa Dodoma, hawakuficha kueleza maono kwamba wakikua wanatamani kuwa viongozi wa juu kama alivyo Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, wabunge na wakuu wa wilaya ili waje wawasaidie wanafunzi wa kike kuwaendeleza kielimu.

Wanafunzi hao walitoa maono hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma Machi 8,2021. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video jinsi wanafunzi hao wanavyojieleza kwa kujiamini.......



 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI LOG YA TAIFA YA CCM 0754264203


No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages