LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 14, 2021

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI MKOANI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Awesu alipokua akitembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi ya Maji Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 14,2021.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajasiriamali wa Soko Jipya la Kijichi Mbagala Wilaya ya Temeke, wakati alipokua katika ziara yake ya siku ya pili kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 14,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages