Clip hii ya video inaonesha sehemu ya Unguja Zanzibar katika maeneo ya Michenzani, Mji Mkongwe (Stone Town) na Soko Kuu la Darajani maarufu kama Marikiti, neno lililotoholewa kutoka lugha ya kiingereza la Market.
Tukio hili limerekodiwa hivi karibuni na Richard Mwaikenda aliyekuwa huko kikazi wiki iliyopita Februari 7 hadi 12, 2021. Your Ad Spot
Feb 14, 2021
VIDEO: HII NDIYO UNGUJA ZANZIBAR
Tags
featured#
video#
Zanzibar#
Share This
About Richard Mwaikenda
Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇