LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 5, 2021

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMED SHEIN KIBELE UNGUJA LEO.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia na kuzungumza nae.(Picha na Ikulu) RAIS Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi alipofika nyumbani kwake Kibele kwa ajili ya kumjulia hali na kuzungumza nae, wakiwa katika mazungumzo yao.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na Rais Mstaaf wa Zanzibar wa Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipofika nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya kumsalimiana na kuzungumza nae.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages