RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwa Dk. Shein Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwa Dk. Shein Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇