LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 4, 2021

RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI DK. ANNA MAKAKALA, IKULU MJINI ZANZIBAR, LEO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akipigiwa saluti na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala Kamishna Jenerali huyo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha. Leo. Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Johari Masoud Sururu. (Picha na Ikulu). (Picha na Ikulu)  
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dk. Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha. Kushoto ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Johari Masoud Sururu. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages