Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi
Spika wa Bunge, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishiNaibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishiBaadhi ya Wabunge wakiongozana kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa utoaji heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi
Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza wakati wa utoaji heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi
Baadhi ya wabunge waombolezaji wakiwa na nyuso za majonzi wakatik huo wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma
Wapambe wa Bunge wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye wakati wakilipeleka kwenye eneo maalum kwa ajili ya Wabunge kutoa heshima zao za mwisho katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma
Feb 13, 2021
Home
featured
Kitaifa
MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA MUHAMBWE MAREHEMU NDITIYE WAANGWA LEO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE JIJINI DODOMA, WAZIRI MKUU
MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA MUHAMBWE MAREHEMU NDITIYE WAANGWA LEO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE JIJINI DODOMA, WAZIRI MKUU
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This

About Bashir Nkoromo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇