LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 5, 2021

MATUKIO YA BUNGENI DODOMA LEO


Mbunge wa Viti Maalum, Ritha Kabati akichangia hoja  bungeni Dodoma, kuhusu hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 12,Novemba 13, 2020, ambapo alimpongeza Rais John Magufuli kwa uongozi wake bora kiasi cha kuwatua wanawake ndoo za maji kichwani. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA.  .
Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo   kwenye viwanja vya Bunge Dodoma Februari 5,2021.
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye akichangia hoja bungeni ambapo aliiomba Serikali kuifanyia matengenezo Barabara ya Lindi- mtwara ambayo imeanza kuharibika. 


Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima akichangia bungeni Dodoma , kuhusu hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 12,Novemba 13, 2020.
Mbunge wa Jimbo la Njombe, Deo Mwanyika akichangia bungeni Dodoma kuhusu hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 12,Novemba 13, 2020.
Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga akichangia hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 12,Novemba 13, 2020, ambapo alitaja amabo mengi ya maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rfais John Magufuli
Mkunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Geita, Rose Busega akichangia hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 12,Novemba 13, 2020, ambapo alimwagia sifa lukuki Rais John Magufuli kwa uongozi wake bora na kuahidi kumtetea mahali popote.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Suma Ikenda akichangia hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 12,Novemba 13, 2020.
Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga akichangia hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 12,Novemba 13, 2020.

Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Abubakar Asenga akichangia hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 12,Novemba 13, 2020., ambapo alimpongeza Rais kwa kutimiza ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni 2015 kujenga Barabara ya lami ya Mikumi- Ifakara, ambapo ameiomba serikali kusimamia vizuri ili ujenzi wake ukamilike kwa wakati.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages