Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa maagizo kuhusu kuchukuliwa hatua kwa mtu anaetiririsha Maji ya Choo katika Mradi wa Kingo za Mto Ng'ombe Wilaya ya Kinondoni alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji na Mazingira Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia kazi ya Ulazaji na Usambasaji wa Mabomba ya Maji Safi na Salama katika Eneo la Pugu na Gongolamboto Mkoani Dar es salaam leo Febuari 13,2021. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya siku mbili ya kikazi ya kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji na Mazingira katika Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. wa pili kulia ni Mtendaji Mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemeja
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Pugu Juu baada ya kuzindua Mradi wa Maji safi na Salama katika Eneo hilo leo Febuari 13,2021. Makamu wa Rais Yupo katika ziara ya kikazi ya siku mbili kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji na Mazingira Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi wa Maji safi na Salama na Mazingira katika Eneo la Usambazaji Maji Kisarawe, Pugu na Gongolamboto Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya siku mbili ya kikazi ya kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji na Mazingira katika Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. katikati ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Awesu, kushoto ni Mtendaji Mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemenja.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇