Dk. Mpango akiwashukuru wauguzi na madaktari kwa huduma waliyompatia
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kuruhusiwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma ambako alilazwa kwa matibabu kwa siku 14. na Daktari Bingwa aliyeongoza jopo kumhudumia, Anhony Yunda. Nyuma yao ni baadhi ya wauguzi walioshiriki kumuuguza.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kuruhusiwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma ambako alilazwa kwa matibabu kwa siku 14. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Alphonce Chandika na Daktari Bingwa aliyeongoza jopo la waliokuwa wana wanamhudumia, Anhony Yunda. Nyuma yao ni baadhi ya wauguzi walioshiriki kumuuguza.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Na Richard Mwaikenda, CCM Blog, Dodoma
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa ambapo amewashukuru wauguzi na madaktari walioshiriki kumuuguza na kwama sasa yuko fiti na tayari ameanza kuchapa kazi.
Ameyasema hayo wakati anazungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika katika Hospitali hiyo leo mchana jijini Dodoma.
Mdau nakuomba uendelee kumsikiliza kupitia clip hii ya video Dk. Mpango akielezea kuhusu kuimarika kwa afya yake na utayari wa kuanza kchapa kazi.
IMEANDALIWA NA:RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇