LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 17, 2021

Breaking News : MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AFARIKI DUNIA

 


Mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar amefariki dunia.

Rais  wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi amethibitisha taarifa za kifo hicho na kutangaza siku saba za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages