LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 8, 2021

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA ATEMBELEA MWALO WA ZIWA VICTORIA ENEO LA CHATO KUONA SAMAKI WATOKAO ZIWA HILO, LEO


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki, akimpa Waziri wa  Mambo ya Nje wa China Wang Yi kuhusu samaki aina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoria mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Ziwa Victotia katika eneo la Chato mkoani Geita, leo asubuhi, Ijumaa, Januari 8, 202. Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages