LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 3, 2021

WATU WATATU WAFA, 66 WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOTOKEA KIGWE, BAHI MKOANI DODOMA


Hizi ni picha za ajali ya Treni iliyoanguka Bahi Dodoma ikitokea Dar es salaam January 2 2021 na kusababisha vifo vya Watu watatu pamoja na Majeruhi 66, hizi hapa chini ni picha za Treni yenyewe kwenye eneo la ajali.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages