LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 28, 2021

WAMASAI WANUFAIKA WA MKURABITA WAELEZEA WALIVYOKOPA BENKI KUTUMIA HAKIMILIKI ZA KIMILA MBARALI+video

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mpango wa Urasimishaji wa Ardhi na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), Balozi mstaafu, Daniel Ole Njoolay (kushoto), akizungumza na wafugaji wenye jamii ya kimasai Talas Taikoo (kulia) na Tirike Sandetwa wanufaika wa Mkurabika waliokopa fedha benki kwa kutumia Hati Hakimili za kimila wilayani Mbarali.

                                           Talas Taikoo

                                        Tirike Sandetwa 

Na Richard Mwaikenda, Mbarali

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mpango wa Urasimishaji wa Ardhi na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), Balozi mstaafu, Daniel Ole Njoolay (kushoto), akizungumza na wafugaji wenye jamii ya kimasai Talas Taikoo (kulia) na Tirike Sandetwa wanufaika wa Mkurabika waliokopa fedha benki kwa kutumia Hati Hakimili za kimila wilayani Mbarali.

Tukio hili lilitokea Januari 26,2021 katika Ofisi za Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya baada ya mkutano na viongozi wa halmashauri pamoja na wadau walionufaika kwa kutumia Hakimiliki za kimila kukopea mkopo benki.

Ndugu mdau nakuomba uendelee kuwasikiliza wanufaika hao wa Mkurabita wakielezea kupitia clip hii ya video jinsi walivyonufaika kimaisha na fedha walizokopa kupitia Hati za Hakimiliki za kimila... 

IMEANDALIWA NA;
 RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages