|
Ndugu mzazi usihangaike kutafuta Yaya wala House Girl kwa ajili ya kukulelea mwanao, jukumu hilo limechukuliwa na vituo mahiri kwa kazi hiyo, Rhema ambayo imefungua vituo vitano vya kulelea watoto kuanzia miaka miwili katika kona mbalimbali za jiji la Dodoma, hivyo kukupunguzia mzazi jukumu la kumlea mwanao hadi muda utakaotoka kazini.
Licha ya Usalama, lakini watoto wanapata huduma mbalimbali kama usafiri, vyakula, michezo, vifaa vya kuchezea, mahali pa kupumzika bila kusahau elimu kwa ujuma. |
Vituo vyetu 5 vipo tayari Karibuni sana wazazi na Walezi Rhema English medium iliyoko Area C imejipanua hadi unapoishi Kilimani, Ipagala. Dodoma Makulu. Tyuka na Area C. tuletee watoto kuanzia chini ya miaka 2 hadi miaka 6 na kwa Wale wanaotaka main compus yaani Rhema Nursery Pre and Primary School nafasi bado zipo kuanzia Nursery Pre Class one na darasa la kwanza hadi la saba. Karibu Mzazi unufaike na huduma zetu kumwandikisha mtoto piga numba 0754347785
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇