LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 19, 2021

SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KAMPUNI YA L NICKEL LIMITED YA UINGEREZA WATIA SAINI MAKUBALIANO YA PAMOJA KUSHIRIKIANA KATIKA UCHIMBAJI WA MADINI YA NICKEL HUKO KABANGA, NGARA MKOA WA KAGERA

 


Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko na Msajili wa Hazina Bw. Athumani Mbuttuka (wa tatu toka kushoto walioketi) pamoja na wanasheria wakishuhudia Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt Adelardus Kilangi na Makamu wa Rais wa Kampuni ya LZ NICKEL LIMITED ya Uingereza Bw. Chris Von Chritierson wakitia saini makubaliano ya pamoja ya ushirikiano
kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni hiyo katika uchimbaji wa madini ya Nickel katika mgodi wa Kabanga wilayani
Ngara mkoa wa Kagera

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages