Muonekano wa Mradi wa maji wa Mwanga-Same-Korogwe utakaokabidhiwa na Serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), ili kuukamilisha kwa utaratibu wa Force account. Makabidhiano yamefanywa na Waziri wa Maji, leo Jumaa Aweso tarehe 19 Januari, 2021.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇