LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 8, 2021

NTIBANZONKIZA MCHEZAJI BORA, KAZE KOCHA BORA LIGI KUU DESEMBA

MCHEZAJI mpya wa Yanga SC, Mrundi Saidi Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Desemba msimu huu wa 2020/2021.

Mrundi mwenzake, Cedric Kaze amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Desemba msimu huu wa 2020/2021.




No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages