LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 20, 2021

NAIBU WAZIRI WA MAJI, MARYPRISCA MAHUNDI KUZINDUA BARAZA LA SITA LA WAFANYAKAZI DUWASA


 NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Baraza la Sita la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Duwasa, Sebastian Warioba, uzinduzi huo unafanyika leo  Januari 20, 2020 kwenye Ukumbi wa  Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages