LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 4, 2021

MBUNGE AJITOSA KUTATUA MGOGORO WA KIMASLAHI WA WAWEKEZAJI, WATENDAJI WA SERIKALI NA WANASIASA KWENYE MGODI WA DHAHABU GEITA

Baadhi ya wachimbaji wadogo wadogo wa madini ya dhahabu na wamiliki wa mashamba, kwenye mgodi wa Isanjabadugu Nyakafulu wilaya ya Mbogwe mkoa wa Geita, wameiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa kimaslahi baina ya watendaji wa serikali, wawekezaji na wanasiasa ili kunusuru uvunjifu wa amani usitokee.

Wamebainisha hayo katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga aliyetembelea mgodi huo, Jana.

Kutoka Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita Cosmas Makongo anaripoti..👇



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages