LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 4, 2021

MAJALIWA AFUNGUA JENGO LA HALMASHAURI YA MJI MBINGA MKOANI RUVUMA, LEO

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Januari 4, 2021. Wa pili kulia ni Mkewe Mary , kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma, Odo  Mwisho. Wa nne kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme , wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Cosmas Msheny na kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga, Grace Quintine. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme wakifungua Jengo la Ofisi  za Halmashauri ya Mji  Mbinga, Januari 4, 2021.








No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages