LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 30, 2020

WAHARIRI WAVUTIWA NA MAKUMBUSHO YA OLDUVAI GORGE, NGORONGORO

 

Mkurugenzi Mwendeshaji wa mitandao ya Fullshangweblog.co.tz na Fullshangwe TV Bw. John Bukuku akipokea cheti kutoka kwa Dk Christopher Timbuka Naibu Kamishana Uhifadhi, Maendeleo ya Jamii na Utalii Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) baada ya ya kushiriki semina ya siku tatu ya wahariri wa vyombo vya habari  na waandishi waandamizi kuhusu uhifadhi wa  Ngorongoro Crater iliyoandaliwa na kufanyika katika makao makuu ya hifadhi hiyo Karatu Mkoani Arusha kwa lengo la kubadilishana mawazo na kushauriana juu ya changamoto za uhifadhi wake , Katikati ni Audax Bahweitima Naibu Kamishna wa Mamlaka hiyo.

Mwandishi wa EATV Arusha Bw. Dotto Kadoshi akipokea cheti cha ushiriki wa semina hiyo kutoka kwa Dk.Christopher Timbuka Naibu Kamishana Uhifadhi, Maendeleo ya Jamii Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Utalii baada ya kushiriki semina ya wahariri wa vyombo na waandishi waandamizi  kuhusu uhifadhi wa  Ngorongoro Crater iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo na kufanyika katika makao makuu ya hifadhi hiyo Karatu Mkoani Arusha kwa lengo la kubadilishana mawazo na kushauriana juu ya changamoto za uhifadhi wake , Katikati ni Audax Bahweitima Naibu Kamishna wa Mamlaka hiyo.

Mwandishi wa Habari wa ITV Arusha Bi. Bitrice Gelrad akipokea cheti cha ushiriki wa semina kutoka kwa Dk. Christopher Timbuka Naibu Kamishna Uhifadhi, Maendeleo ya Jamii na Utalii Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) baada ya kushiriki semina ya wahariri wa vyombo na waandishi waandamizi  kuhusu uhifadhi wa  Ngorongoro Crater iliyoandaliwa na Mamlaka  hiyo na kufanyika katika makao makuu ya hifadhi  Karatu Mkoani Arusha kwa lengo la kubadilishana mawazo na kushauriana juu ya changamoto za uhifadhi wake , Katikati ni Audax Bahweitima Naibu Kamishna wa Mamlaka hiyo.

Mwandishi mwandamizi wa ITV na Radio One B. Farhia Middle  Mohammed akipokea cheti cha ushiriki wa semina hiyo kutoka kwa  Dk. Christopher Timbuka Naibu Kamishna Uhifadhi, Maendeleo ya Jamii na Utalii Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) baada ya  ya kushiriki semina ya wahariri wa vyombo na waandishi waandamizi kuhusu uhifadhi wa  Ngorongoro Crater iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo na kufanyika katika makao makuu ya hifadhi  Karatu Mkoani Arusha kwa lengo la kubadilishana mawazo na kushauriana juu ya changamoto za uhifadhi wake.

Mhariri Mtendaji wa Gazeti La Jamhuri Bw. jackton Manyerere akipokea Cheti cha ushiriki wa semina hiyo kutoka kwa Dk. Christopher Timbuka Naibu Kamishana Uhifadhi, Maendeleo ya Jamii na Utalii Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) baada ya kushiriki semina ya wahariri wa vyombo na waandishi waandamizi kuhusu uhifadhi wa  Ngorongoro Crater iliyoandaliwa na Mamlaka ya hiyo na kufanyika katika makao makuu ya hifadhi hiyo Karatu Mkoani Arusha kwa lengo la kubadilishana mawazo na kushauriana juu ya changamoto za uhifadhi wake , Katikati ni Audax Bahweitima Naibu Kamishna wa Mamlaka hiyo.

Mhariri wa Gazeti la Habari Leo Comredi Mgaya Kingoba akipokea cheti kutoka kwa kutoka kwa Dk. Christopher Timbuka Naibu Kamishana Uhifadhi, Maendeleo ya Jamii na Utalii Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) baada  ya kushiriki semina ya wahariri wa vyombo vya habari  na waandishi waandamizi kutoka Vyombo mbalimbali  kuhusu uhifadhi wa Ngorongoro Crater iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo  na kufanyika katika makao makuu ya hifadhi Karatu Mkoani Arusha kwa lengo la kubadilishana mawazo na kushauriana juu ya changamoto za uhifadhi wa katika mamlaka hiyo , Katikati ni Audax Bahweitima Naibu Kamishna wa Mamlaka hiyo.

Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali na waandishi wa habri wakipanda basi maalum la Mamlaka ya  Uhifadhi ya Ngorongoro Conservation Area Authority ili kuwapeleka Oldduvai Gorge  Museum ili kujionea mabaki ya nyao za Zamadam zilizogunduliwa katia eneo hilo.

Baadhi ya wananchi kabila ya wamasai wanaoishi kwa pamoja na wanyama katika hifadhi ya Ngorongoro Crater na kuendelea na shughuli za kibinadamu huku wanyama nao wakiendelea kuishi na kupata mahitaji yao katika hifadhihiyo.

Picha zikionesha baadhi ya wanyama aina ya Pundalmia na Mifugo aina ya Ng’ombe pamoja na binadamu wakishiriki kwa pamoja katika bwawa la maji ambalo wanyama wa kufugwa pamoja na wanyama pori na binadamu wanatumia maji ya bwawa hilo.

   

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye eneo la Mapokezi la Oldduvai Gorge ili kutembelea makumbusho hayo ya nyao za binadamu mara baada ya kuwasili katika eneo hilo.

 

Bwana Godfrey Ollemoith Afisa wa Urithi wa Utamaduni Katika makumbusho ya Oldduvai Gorge akitoa maelezo kwa wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wa habari wakati walipotembelea katika eneo hilo ikiwa ni moja ya mafunzo ya uhifadhi wa mazingira katika hifadhi ya Ngorongoro Consavertion Area Authority.

 

Baadhi ya mabaki ya nyao Zamadam zilizovumbuliwa na watafiti katika eneo la Oldduvai Gorge na mabaki ya wanyama mbalimbali walioishi katika eneo hilo.

   

Mwandishi wa habari wa BBC Abubakar Famau akiongozana na Blogger mwandamizi Bw. Ahmed Michuzi kutoka Michuzi Media Group mara mara baada ya kutembelea makumbusho hayo na kuona mambo mbalimbali.

Eneo Olduvai Gorge ambalo nyayo za Zamadam na wanyama mbalimbali zimegunduliwa.

Bwana Godfrey Ollemoith Afisa wa Urithi wa Utamaduni Katika makumbusho ya Oldduvai Gorge akitoa mada na kujibu maswali kwa wahariri wa vyombo vya habari na waandishi wa habari  mara baada ya kutembelea makumbusho hayo.

Baadhi ya wanahabari wakisikiliza mada katika seminahiyo mara baada ya kutembelea makumbusho ya Olduvai Gorge na kujionea makumbusho ya Nyayo za Zamadam 

Dk Christopher Timbuka Naibu Kamishana Uhifadhi, Maendeleo ya Jamii akizungumza na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari  katika makubusho ya Olduvai Gorge mara baada ya wahariri hao kutembelea katika kmakumbusho hayo.

 

Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Bi. Joyce Mgaya akizungumza jambo wakati wa semina ya waandishi wa habari iliyofanyika katika makumbusho ya Olduvai Gorge leo wilayani Karatu mkoani Arusha.

Hili ndilo eneo linalosadikika lilikuwa ziwa kutokana na volcano maji yalihama na kusababisha tabaka la miamba ambako watafiti wa masuala ya sayansi waligundua nyayoza binadamu wa kwanza Zamadam hapo.

Needpeace Wambuya Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mipango na Uwekezaji Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akitoa mada kuhusu uwekezaji katika mamlaka hiyo.

Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari na wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo leo.

  Katibu Mtendaji wa Jukwaa la Wahariri TEF Bw. Neville Meena akiwasilisha mapendekezo ya semina hiyo leo katika makumbusho ya Olduvai Museum Gorge Ngorongoro.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages