LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 18, 2020

RAIS DK. MWINYI AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA SERIKALI NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA PEMBA, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Watendaji wa Serikali na Kamati ya Ulinzi na Usalama Kisiwa cha Pemba wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba, leo. (Picha na Ikulu)


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages