LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 16, 2020

RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI, LEO JIJINI DODOMA

Rais DK. John Magufuli

Na Bashir Nkoromo, CCM Blog

Rais Dk. John Magufuli leo Disemba 16, 2020 anaongoza kikao cha Baraza lake jipya la Mawaziri, Jijini Dodoma, kikiwa ni kikao Cha kwanza Cha Baraza hilo katika awamu yake ya pili ya Urais tangu achaguliwe tena katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu.


Mapema Rais Dk. John Magufuli  Disemba 5, 2020 alikamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri kwa kuwateua jumla ya  Mawaziri 21 wakiemo wawili walioteuliwa Novemba 13, 2020.


Katika Uteuzi huo  pia Rais aliwateua Naibu Mawaziri 23, huku akiongeza Wizara moja mpya ambayo ni Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Habari picha za kikao hicho tunaweka baadaye kwenye Blog hii ya Taifa ya CCM

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages