LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 16, 2020

RAIS DK HUSSEIN MWINYI ALA KIAPO KUWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWAZIRI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA HILO KILICHOFANYIKA, LEO JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi baada ya kuapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri  la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzaniajijini Dodoma leo Desemba 16, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongoza kikao cha kwanza cha  Baraza la Mawaziri  la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania, leo Jijini Dodoma. (picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages