LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 15, 2020

UPDATE; MMILIKI WA WHITESANDS HOTEL BILIONEA SUBHASH PATEL AMEFARIKI DUNIA

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Motisun Group ambaye pamoja na miradi yake mingi alikuwa mmiliki wa Hoteli ya WhiteSands Subhash Patel (Pichani) amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.

Taarifa zimesema Mfanyabiashara huyo maarufu ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache hapa nchini, amefarikikifo mapema leo katika Hospitality ya Agakhan alikokuwa amelazwa akiubgua kwa mda mrefu.

 Mfanyakazi mmoja wa WhiteSands Hotel amesema mwili wa marehemu Subhash utafanyiwa maziko ya Kihindu kwenye Makaburi ya Kihindu yaliyopo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.

"Hatujajua mazishi yatafanyika lini, maanambado wanasubiriwa watoto wake walioko nchi za nje, bila shaka taarifa zaidi tutajulishwa katika kikao cha wafanyakazi kitakachofanyika leo mchana", amesema mfanyakazi huyo ambaye hakupenda kutajwa jina.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages