LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2020

WALIOWANG'OA MBOWE NA HALIMA MDEE MAJIMBONI WAAPISHWA BUNGENI, JIJINI DODOMA, LEO. NI GWAJIMA NA SAASISHA

Mbunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, aliyemng'oa Halima Mdee wa Chadema kwenye jimbo hilo, akila kiapo leo Bungeni jijini Dodoma.

Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM aliyemng'oa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye jimbo hilo, Saasisha Mafuwe akila kiapo Bungeni jijini Dodoma, leo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages