LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 6, 2020

WAJANE WA MARAIS NYERERE, KARUME NA MKAPA HAWAKUKOSA SHEREHE ZA KUAPISHWA DK MAGUFULI DODOMA

Mama Maria Mjane wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Hayati Julius Nyerere akiwa ameshuka kwenye gari tayari kuhudhuria sherehe za kuadhimishwa kwa Dk. John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano kipindi cha pili cha miaka mingine mitano kenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma Novemba 5, 2020. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Mama Maria akiondoka uwanjani baada ya kuhudhuria

 Anna Mjane wa Rais wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, Hayati Benjamin Mkapa akiagana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kuhudhuria sherehe hizo.


Bahat mbaya hatukuweza kupata picha ya Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages