LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 24, 2020

WACHEZAJI 24 WA SIMBA WAONDOKA LEO KWENDA NIGERIA KUKIPIGA NA PLATEAU UNITED IJUMAA

WACHEZAJI 24 wataondokea KIA leo jioni kwenda Abuja, Nigeria kupitia Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United Ijuma

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages