LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2020

UCHAGUZI WA SPIKA NA KUAPISHWA KWA WABUNGE DODOMA

Spika Mteule, Job Ndugai akipiga kura yake wakati wabunge wakimchagua Spika wa Bunge la 12, ambapo Ndugai alishinda kiti hicho Novemba 10, 2020.
Mmoja wa wabunge akitumbukiza kura yake kwenye sanduku
Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Dk. Adelardus Kilangi akila kiapo cha ubunge.
Mbunge wa Ruangwa ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa  akila kiapo cha ubunge
Mbunge Mteule wa Mbeya Mjini, ambaye pia  ni Naibu Spika mstaafu anayewania tena nafasi hiyo, Dk. Tulia Ackson akila kiapo cha ubunge.



Mbunge Mteule wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata akiapishwa na Spika wa Bunge.


Meneja wa Msanii Diamond Platnumz, Hamis Taletale akila kiapo kuwa mbunge wa Jimbo la  Morogoro Kusini Mashariki.



 Baadhi ya wageni waalikwa wakishuhudia wabunge wakiapishwa. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages