LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2020

ASHA ABDALLAH JUMA AAPISHWA KUWA MBUNGE, BUNGENI JIJINI DODOMA, LEO

Asha Abdallah Juma aka Mshua, kutoka Zanzibar, akila kiapo cha usminifu leo, Bungeni jijini Dodoma. Asha ni miongoni mwa Wabunge 94 wa Viti maalum CCM na no Mbunge machachari mwenye uzoefu katika masuala ya Bunge.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages