LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI ATUA DODOMA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA BUNGE LA 12 UTAKAOFANYWA NA RAIS DK. MAGUFULI, KESHO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Bilinith Mahenge, alipowasili jijini Dodoma leo jioni, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa Bunge la 12 la  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanywa na Rais Dk. John Magufuli kwa kuhutubia Taifa kupitia Bunge hilo, kesho 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Bilinith Mahenge, alipowasili jijini Dodoma leo jioni, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa Bunge la 12 la  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanywa na Rais Dk. John Magufuli kwa kuhutubia Taifa kupitia Bunge hilo, kesho.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages