LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2020

MAJALIWA APONGEZWA NA WABUNGE KUWA WAZIRI MKUU

Wabunge wakimpongeza Kassim Majaliwa baada ya kuthibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa miaka mingine mitano, bada ya jina lake kupendekezwa na Rais John  Magufuli Novemba 12, 2020.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Waziri Mkuu Mteule, Kassim Majaliwa akitoa neno la shukrani baada ya jina lake kuthibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu.

Kassim Majaliwa akipongezwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus  Kilangi baada ya kuthibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages