LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 19, 2020

RAIS DK. HUSSEIN MWINYI ATANGAZA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi  akitangaza majina ya mawaziri aliowateua kusimamia Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,  katika ukumbi wa mikutano, Ikulu Jijini Zanzibar leo. Ifuatayo ni Orodha ya Wateule hao👇

1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Uchumi na Uwekezaji - Mudrik Ramadhan Soraga.


2. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) - Masoud Ali Mohammed.


3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba na Utawala Bora - Haroun Ali Suleiman.


4. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango - Jamal Kassim Ali.


5. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi -  Dk. Khalid Mohammed Salum. 


6. Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji na Mifugo - Soud Nahoda Hassan. 


7. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali - Simai Mohammed Said


8. Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni -  Tabia Mwita Maulid.


9. Wizara ya Biashara ya Maendeleo ya Viwanda. Bado hajateua Waziri. 


10. Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi -  Riziki Pembe Juma.


11. Wizara ya Maji na Nishati -  Suleiman Masoud Makame.


12. Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto. Bado hajateua Waziri.


13. Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale - Lela Mohammed Mussa.


14. Wizara ya Uchumi wa Bluu na Uvuvi - Abdallah Hussein Kombo. 


15. Wizara ya Ujenzi - Rahma Kassim Ali.


 Mawaziri Wote wataapishwa Jumamosi Novemba 21 Saa 5 asubuhi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages