LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 7, 2020

RAIS DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMUAPISHA KATIBU WA RAIS IKULU, MJINI ZANZIBAR, LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimuapisha Suleiman Ahmed Saleh kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Katikati ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dk. Abduhamid Yahya Mzee.

MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Mhe.Dk.Mwinyi Talib Haji, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid na Naibu Katibu Mkuu Salum Kassim Ali, wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Katibu wa Rais Suleiman Ahmed Saleh, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
Familia ya Katibu wa Rais Suleiman Ahmed Saleh wakihudhuria  kuapishwa kwake  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akitambulishwa familia ya Katibu wa Rais Suleiman Ahmed Saleh.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali, baada ya kumalizika kwa  kuapishwa Katibu wa Rais Suleiman Ahmed Saleh, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa Rais Suleiman Ahmed Saleh, baada ya kumuapisha leo  katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Katibu wake Bw. Suleiman Ahmed Saleh, baada ya kumaliza kwa hafla ya kumuapisha katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 7/11/2020.(Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages