LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 4, 2020

RAIS DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMUAPISHA MWANSHERIA MKUU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, hafla iliyofanyika  leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(katikati) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dkt .Abduhamid Yahya Mzee.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages