LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2020

RAIS DK HUSSEIN ALI MWINYI ALIHUTUBIA NA KULIZINDUA BARAZA LA KUMI LA WAWAKILISHI ZANZIBAR, LEO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali  Mwinyi akisalimia na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zuberi Ali Maulid, alipowasili katika Viwanja vya Barazala Wawakilishi Chukwani Zanzibar, kuhutubia na kulizindua Baraza hilo la kumi leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokea Salamu ya Heshima kutokwa kwa gwaride maalum la Kikosi cha FFU wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi  Zanzibar  wakati wa hafla ya ufunguzi wa Baraza hilo leo katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia na kulifungua leo👇


Kutoka kulia, Rais Mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Karume, Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi, wakifuatrilia hotuba ya  ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ufunguzi huo, leo.

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama na Mkewe kupokea heshima, baada ya kuitoa hotuba yake katika  Baraza la Kumi la Wawakilishi  ZanzibarChukwani Jijini Zanzibar
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages