LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 23, 2020

NGORONGORO HEROES WAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA, WAICHAPA DJIBOUTI 6-1 KARATU



Mchezaji wa Ngorongoro Heroes Abdul Hamisi Suleiman akiwa na mpira baada ya kufunga mabao matatu dakika za 65,71 na 90 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Djibouti kwenye mchezo wa Kundi A michuano ya CECAFA U20 leo Uwanja wa Black Rhino Academy, Karatu mkoani Arusha.

 Mabao mengine ya Tanzania yalifungwa na Teps Theonasy dakika ya 52, Khelfin Hamdou dakika ya 82 na Kassim Haruna dakika ya 88, wakati la Djibouti limefungwa na Abdourahma Kamil dakika ya 14

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages