LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 10, 2020

MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI ALIPOKUTANA NA WABUNGE WATEULE WA CCM MJINI DODOMA

👆Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiongoza kikao chake na Wabunge-wateule wa C CM kilichofanyika  katika ukumbi wa Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, jana, Jumatatu Novemba 9, 2020. Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Kushoto kwa ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally.
👆Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akizungumza wakati wa kikao hicho.
👆Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula akizungumza wakati wa kikao hicho.
👆Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kikao hicho.

👆Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally wakiwa wamesimama mbele ya Wabunge wateule wa CCM baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM, Jengo la White House jijini Dodoma kwa ajili ya kikao hicho, jana
👆Wabunge wateule wakiwa wamesimama kuhsngili Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli alipokuwa akiingia ukumbini kuendesha kikao hicho.

Wabunge wateule wa CCM wakiwa kwenye kikao hicho👇
Wabunge wateule wakishangilia kwa kupiga kofi mwisoni mwa kikao hicho.  (Picha na Mpigapicha Maalum).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages