LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 9, 2020

DIWANI MTEULE NA WAJUKUU ZAKE WATEKETEA KWA MOTO


Diwani mteule wa Kata ya Kikongo Wilaya ya Kibaha Vijijini mkoani Pwani Fatuma Ngozi na Wajukuu zake wawili wamefariki baada ya nyumba ya Diwani huyo kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9.

Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani Wankyo Nyigesa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo “Ni kweli na watu wangu wako eneo la tukio btoka alfajiri wakifuatilia chanzo”
.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages