Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa leo amemtembelea na kumjulia hali mwanamziki mkongwe nchini Kikumbi Mwanza Mpango maarufu kama King Kikii, Nyumbani kwake Temeke kwa Azizi Ally, Jijini Dar es Salaam, leo.
Majaliwa amempa pole Kikii anayesumbuliwa na matatizo ya Mgongo na amemtakia pona ya haraka ili aweze kuendelea na majukumu yake kama kawaida.
Video👇
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇