LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 24, 2020

MAFUNZO YA UANDAAJI WA MPANGO WA KATI WA MATUMIZI YA FEDHA (MTEF) YAANZA RUSHA

Wawezeshaji wa Mafunzo ya Uandaaji wa Mpango wa Kati wa Matumizi ya Fedha (MTEF) kwa Taasisi na Mashirika ya Umma, Cledius Kamugisha  akiendesha mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa ajili ya maafisa Mipango na Maafisa Rasilimali Watu. Mafunzo hayo yaliyoanza jana kwenye Chuo cha Uhasibu Arusha yanatarajiwa kufanyika kwa wiki mbili.

 


1. Mwezeshaji wa Mafunzo ya Uandaaji wa Mpango wa Kati wa Matumizi ya Fedha (MTEF) kwa Taasisi na Mashirika ya Umma, Hezron Mwakabonga akiendesha mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa ajili ya maafisa Mipango na Maafisa Rasilimali Watu. Mafunzo hayo yaliyoanza jana kwenye Chuo cha Uhasibu Arusha yanatarajiwa kufanyika kwa wiki mbili.

Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina).

 

2. 

 


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages