LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 6, 2020

KATA YA KIVUKONI SHARIK CHOUGHULE AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SOKO KUU LA SAMAKI FERI, ASISITIZA USAFI

Diwani wa Kata ya Kivukoni Sharik Choughule akizungumza na viongozi wa Makundi (Zone) ya wafanyabiashara katika Soko Kuu la Samaki la Fery jijini Dar es Salaam, jana. Baada ya kusikiliza kero za wafanyabiashara kupitia viongozi hao, Diwani huyo aliahidi kuzifanyia kazi.

Diwani Choughule aliwataka Viongozi hao kuacha kucahanganya shughuli za soko hilo na mambo ya siasa badala yake wawaunganishe wafanyabiashara na kuwa kitu kimoja. Choughule aliwataka viongozi hao kuhakikisha soko linakuwa safi kwa kuwahimiza wafanyabiashara kiuzingatia usafi.
Diwani Choughule akisisitiza jambo wakati wa kikao hicho
Diwani Choughule akisindikizwa na Katibu Mwenezi Kata ya Kivukoni Hassan Malocho kwenda ukumbini
Mwenyekiti wa Wadau wafanyabishara katika Soko Kuu la Fery Mbaga Kilima akizungumza katika kikao hicho.
Wengine kutoka kulia ni Kataibu Mwenezi Kata ya Kivukoni Hassan Malocho,  Mkuu wa Soko hilo Denis Mrema, Katibu wa Wadau Nassoro Mbaga na Diwani Choughule.
Wakisimama kuomba dua kabla ya kikao kuanza rasmi
Wakiomba dua kabla ya kikao kuanza
Diwani Choughule akijadiliana jambo na Katibu wa Wadau
mmoja wa Viongozi akitoa kero
katibu wa Wadau akizungumza
Mwenyekiti wa wadau akizungumza
Diwani Choughule akinukuu yaliyokuwa yakizungumzwa na Mwenyekiti wa wadau
Mkuu wa soko akizungumza
Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Kivukoni akizungumza
Diwani Choughule akizungumza jambo na Mwenyekiti wa wadau wa soko la Fery
Mwenyekiti wa Mtaa wa katika Kata ya Kivukoni akizungumza

Diwani Shariki katika taswira mbalimbali wakati akizungumza👇



"Asanteni Sana".Kisha akawashukuru sana viongozi hao kumsikiliza.

Kisha akaanza kusikiliza kero👇





Mkuu wa soko hilo akahitisha kwa kufafanua kero zitakavyotatuliwa kwa kuwasilishwa kwenye vikao vya Menejimenti ya Soko.

Wakiomba sala ya kufunga kikao
Diwani Choughule akimsalimia Mzee mmoja maalum katika Soko hilo wakati akiondoka
Diwani Choughule akisalimia mfanyabiashara maarufu katika soko hilo
Diwani Choughule akitazama wafanyabiashara waliokuwa wakijiburudisha kwa kucheza bao.

Kisha Diwani Choughule akakagua mradi wa maji ambao umerejea katika soko hilo baada ya kusimama kwa mda mrefu👇


"Hongereni sana", serikali ya Rais Dk. John Magufuli ni sikivu ndiyo maana mmeweza kurejeshewa huduma hii ya maji baada ya kusimama kwa muda mrefu kwa sababu ya tanki kuharibika", akasema Diwani Choughule.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages