LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2020

DK. TULIA AKSON AUTWAA TENA UNAIBU SPIKA, BAADA YA KUCHAGULIWA KWA KURA 350 ZA WABUNGE, LEO JIJINI DODOMA

Dk. Tulia Akson aliyekuwa Mgombea Pekee wa Kiti cha Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, leo amechaguliwa kushika wadhifa huo, baada ya wa wabunge wote 354 waliokuwa Bungeni kupiga kura na hatimaye kuibuka na ushindi kwa kupata kura 350 akiwa amekosa kura nne tu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages