RAIS Mteule wa Zanzibar aliyeshinda kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuapishwa kesho Jumatatu Novemba 2, Unguja Zanzibar.
Dk. Mwinyi katika Uchaguzi Mkuu alipata asilimia 76. 27 huku mpinzani wake Maalim Seif wa Chama cha ACT- Wazalendo akiwa mshindi wa pili kwa asilimia 19.87
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇