LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2020

AIDA KENANI MBUNGE PEKEE WA CHADEMA AKILA KIAPO CHA UTII BUNGENI DODOMA

Mbunge pekee wa Chadema, Aida Kenani kutoka Jimbo la Nkasi Kaskazini,  akila kiapo cha utii mbele ya Spika Job Ndugai wakati wa kuwaapisha wabunge katika kikao cha kwanza cha mkutano wa Bunge wa 12, bungeni Dodoma Novemba 10, 2020. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

 Kenani akipongezwa na Spika Ndugai baada ya kuapishwa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages