Mwenyekiti wa Wafugaji Tanzania, Wambura amefanya kampeni karibu mikoa 6 kumuombea kura Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli na amejinasibu kuwa ana mtaji mkubwa wa wafugaji takribani milioni 28 Tanzania nzima.
Wambura alizungumza hayo katika kampeni za CCM katika Kata ya Makole, jijini Dodoma hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇